Kuwa salama kwenye intaneti

Chunguza vidokezo vya haraka na jinsi-ya ambazo zinaeleza unachoweza kufanya ili uwe salama kwenye wavuti.

Weka familia yako salama mtandaoni

Pata ushauri kutoka kwa wazazi wanaofanya kazi Google na wataalam wa usalama wa familia kuhusu jinsi ya kuisaidia familia yako kuvinjari wavuti kwa usalama.

Jifunze jinsi Google inavyosaidia kukulinda

Google hufanya kazi kwa bidii ili kukulinda unapotumia wavuti.

Fahamu wavuti

Kivinjari ni nini? Fahamu jinsi ya kupiga gumzo mtandaoni, kutafuta kwa ufanisi na zaidi.