The House of Favourite Newspapers

Katibu Mkuu, Wizara ya Habari atembelea EFM

0

dav

Mhariri Mkuu, Scholastica Mazula akisalimiana na Katibu Mkuu.

dav

(Kulia) ni Katibu Mkuu , Prof, Elisante akiwa kwenye Kipindi cha Joto la Asubuhi (katikati) ni mtangazaji wa kipindi hicho Chogo pamoja na Adella Tillya. 

sdr

…akiwa katika chumba cha utayarishaji (production room) na mtangazaji wa Kipindi cha Sports Headquarter, Omari Katanga.
dav

… akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari wa kituo hicho.
dav

…akisalimiana na Meneja wa Utafiti na Ubunifu, Mohamed Lukwili (katikati) ni Mazula.
dav

Mazula akimfafanulia jambo Katibu Mkuu.

Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof, Elisante Ole Gabriel leo amekitembelea na kukipongeza Kituo cha Redio cha EFM kwa kutimiza miaka miwili tangu kuanzishwa kwake 2014.

Na Gabriel Ng’osha

Leave A Reply