Mwanamuziki mkongwe kutoka DRC Kongo, Bozi Boziana akijiandaa kwa mahojiano katika Kituo cha Times Radio F m 100.5 alipotembelea leo. Kutoka kulia ni Scholastica Mazula na Amina Singo watangazaji wa kituo hicho.
Mwanamuziki mkongwe kutoka DRC Kongo, Bozi Boziana akiwa na watangazaji wa Kituo cha Times Radio F m 100.5 Scholastica Mazula (kulia) na Amina Singo alipotembelea kituo hicho kilichopo Kawe Beach, Dar es Salaam leo. Boziana yupo nchini kwa mwaliko wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’
Mtangazaji wa kipindi cha mitikisiko ya pwani Khadija Shaibu maarufu kwa jina la Dida (wa pili kushoto) akiwa na wanenguaji wa Boziana Faila Boendi (kushoto) na Blausesse Ayembe (wa pili kulia) pamoja na mtangazaji wa kituo hicho Amina Singo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Boziana wana wanenguaji wazuri hao sijawahi kuona. Angalia nyuso zilivyonona.Hawa ndo wacongolese pure."Banabake banatakiwa bawe kama hivi siyo ile banabake ba KOffi,awilo au bale banabake ba Dany engobo."

    ReplyDelete
  2. We michuzi shwain sana, narudia tena tanzania bila mkorogo inawezekana, kama malaria inapigwa vita hadharani na mkoro nao upigwe vita hii ndo mbaya zaidi ni future cancer!!!! hakuna kubana hapa hizi ni zama za ukweli na uwazi, unamuogopa nani??????????????! mwanaume kujiamini!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...